# amesababisha watu wengi kuanguka hali wamejeruhika "amesababisha watu wengi kufa" # nyumba yake ipo kwenye njia za kwenda kuzimu ... hutelemka chini Hapa "njia" inawakilisha aina ya tabia ambayo hufuatwa na watu wapumbavu. Kuzimu ilikuwa jina la ulimwengu wa wafu # kwenye njia za kwenda kuzimu...chini kwenye vyumba vyenye giza la mauti maana yake wahanga wa mwanamke wataangamia # vyumba vyenye giza la mauti Hapa inaonesha picha ambapo wafu wamelala katika vyumba mbalimbali huko kuzimu