sw_tn/pro/07/22.md

28 lines
534 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ghafla akamfuata
"kwa haraka aliamua kwenda pamoja naye"
# kama maksai akienda...kwenye mtego
ujinga na pasipo kutarajia kijana namfuata malaya ni kama vile wanyama ambavyo huwa hawajui hatari ambayo huwa inawakabili.
# machinjo
sehemu ya kuulia mnyama ili kula nyama yake
# ayala
angalia 5:18
# Hadi mshale umtoboe hadi kwenye ini lake
"mpaka mwindaji ampige kwenye sehemu zake nyeti zaidi"
# ini
kiungo hiki kinawakilisha sehemu muhimu sana ya mwili wa ayala
# ingekuwa gharama ya uhai wake
" angeweza kufa haraka"