# ghafla akamfuata "kwa haraka aliamua kwenda pamoja naye" # kama maksai akienda...kwenye mtego ujinga na pasipo kutarajia kijana namfuata malaya ni kama vile wanyama ambavyo huwa hawajui hatari ambayo huwa inawakabili. # machinjo sehemu ya kuulia mnyama ili kula nyama yake # ayala angalia 5:18 # Hadi mshale umtoboe hadi kwenye ini lake "mpaka mwindaji ampige kwenye sehemu zake nyeti zaidi" # ini kiungo hiki kinawakilisha sehemu muhimu sana ya mwili wa ayala # ingekuwa gharama ya uhai wake " angeweza kufa haraka"