sw_tn/pro/06/28.md

16 lines
305 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtu anaweza kutembea juu ya makaa ya moto bila kuungua miguu yake"
jibu ni hapana. "kila mtu anayetembea juu ya makaa ya moto miguu yake itaungua"
# kutembea juu ya makaa ya moto
Hii inamaanisha kufanya uzinzi
# kutembea
ni kwenda mwendo wa polepole kwa umbali mrefu ukitembea
# kuungua
chomeka