# Mtu anaweza kutembea juu ya makaa ya moto bila kuungua miguu yake" jibu ni hapana. "kila mtu anayetembea juu ya makaa ya moto miguu yake itaungua" # kutembea juu ya makaa ya moto Hii inamaanisha kufanya uzinzi # kutembea ni kwenda mwendo wa polepole kwa umbali mrefu ukitembea # kuungua chomeka