sw_tn/pro/06/14.md

24 lines
420 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hutunga uovu
"huandaa ubaya" au "Hujitayarisha kufanya matendo mabaya"
# kuchochea mafarakano daima
"Siku zote husababisha kutoelewana" au " hutafuta mafarakano daima na kuyaendeleza"
# Kwa hiyo
"kwa sababu hiyo"
# msiba wake utamkuta kwa ghafula
"msiba wake utamkamata"
# msiba wake
hii inahusu msiba utakaotokea ambao mhusika ameusababisha.
# ghafla; kwa muda mchache
kwa haraka sana au "bila kutazamia"