# Hutunga uovu "huandaa ubaya" au "Hujitayarisha kufanya matendo mabaya" # kuchochea mafarakano daima "Siku zote husababisha kutoelewana" au " hutafuta mafarakano daima na kuyaendeleza" # Kwa hiyo "kwa sababu hiyo" # msiba wake utamkuta kwa ghafula "msiba wake utamkamata" # msiba wake hii inahusu msiba utakaotokea ambao mhusika ameusababisha. # ghafla; kwa muda mchache kwa haraka sana au "bila kutazamia"