sw_tn/pro/06/09.md

32 lines
832 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Je utalala hata lini ... lini utainuka kutoka kwenye usingizi?
"Amka, wewe mtu mzembe! Inuka kwenye kitanda chako"
# Usingizi kidogo ... mikono kujipumzisha
Haya ni aina ya mambo amabayo watu wazembe husema
# Lala kidogo, sinzia kidogo
"nitaendelea kulala zaidi"
# kukunja mikono kwa kujipumzisha
"nitakunja mikono yangu kwa utaulivu na kupumzika kidogo"
# na umasikini wako utakuja
"ukiendelea kuwa mzembe, umasikini wako utakuja" au " Wakati umelala, umasikini utakuja"
# umasikini wako utakuja kama mnyang'anyi
ghafula utakuwa masikini, kana kwamba mnyang'anyi amekuja na kukuibia kila kitu ulichonacho"
# na uhitaji wako kama askari mwenye silaha
"na utakuwa mhitaji kana kwamba askari mwenye silaha amekuibia vitu vyako vyote"
# askari mwenye silaha
"askari ambaye ameshikilia silaha" au "mtu mwenye silaha"