sw_tn/pro/06/04.md

24 lines
630 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Macho yako usiyape usingizi na kope kope za macho yako kusinzia
"kaa macho, na kufanya unachoweza"
# macho yako... kope zako
" mwenyewe"
# jiokowe mwenyewe kama swala kutoka kwenye mkono wa mwindaji
"Epa kutoka kwa jirani yako kama swala ambaye hukimbia kutoka kwa mwindaji"
# swali
Huyu ni mnyama ambaye hula majani na mara nyingi watu humwinda kwa ajili ya nyama. Mnyama huyu ni maarufu kwa kwa kukimbia mbbali upesi
# kutoka kwenye mkono wa mwindaji
"kutoka kwenye udhibiti wa mwindaji"
# kama ndege kutoka kwenye mkono wa mwindaji wa ndege
"epa kama ndege ambaye huruka kwenda mbali kutoka kwa mwindaji wa ndege"