# Macho yako usiyape usingizi na kope kope za macho yako kusinzia "kaa macho, na kufanya unachoweza" # macho yako... kope zako " mwenyewe" # jiokowe mwenyewe kama swala kutoka kwenye mkono wa mwindaji "Epa kutoka kwa jirani yako kama swala ambaye hukimbia kutoka kwa mwindaji" # swali Huyu ni mnyama ambaye hula majani na mara nyingi watu humwinda kwa ajili ya nyama. Mnyama huyu ni maarufu kwa kwa kukimbia mbbali upesi # kutoka kwenye mkono wa mwindaji "kutoka kwenye udhibiti wa mwindaji" # kama ndege kutoka kwenye mkono wa mwindaji wa ndege "epa kama ndege ambaye huruka kwenda mbali kutoka kwa mwindaji wa ndege"