sw_tn/pro/05/22.md

16 lines
346 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mtu mwovu atatekwa kwa makosa yake mwenyewe
"mtu mwovu hataweza kuepuka madhara ya makosa yake"
# nyuzi za dhambi yake zitamshika kwa nguvu
"kwa sababu ya dhambi zake, atakuwa kama mnyama aliyenaswa katika mtego"
# upumabavu wake mkuu utampoteza
"upumbavu wake mkuu utamwongoza upotevuni"
# upumabavu wake
"kwa sababu ya upumabavu wake"