sw_tn/pro/05/18.md

28 lines
575 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Chemchemi yako na ibarikiwe
"uweze kufurahia daima pamoja na mke wako"
# mke wa ujana wako
"mwanamke ambaye ulimwoa wakati ukiwa kijana" au "mke wako kijana"
# Ni ayala apendaye na kulungu mwenye madaha
"Ni mwanamke mzuri na mwenye kependeza kama ayala au kulungu"
# mwenye madaha
"mzuri wakati apotembea"
# maziwa yake yakutosheleze
"maziwa yake yakujaze furaha kama maziwa ya mama yanavyowatosheleza watoto wake kwa chakula"
# daima akuleweshe kwa upendo wake
'upendo wake na ukutawale kama pombe inavyomtawala mlevi"
# kwa upendo wake
kwa upendo wake kwako