# Chemchemi yako na ibarikiwe "uweze kufurahia daima pamoja na mke wako" # mke wa ujana wako "mwanamke ambaye ulimwoa wakati ukiwa kijana" au "mke wako kijana" # Ni ayala apendaye na kulungu mwenye madaha "Ni mwanamke mzuri na mwenye kependeza kama ayala au kulungu" # mwenye madaha "mzuri wakati apotembea" # maziwa yake yakutosheleze "maziwa yake yakujaze furaha kama maziwa ya mama yanavyowatosheleza watoto wake kwa chakula" # daima akuleweshe kwa upendo wake 'upendo wake na ukutawale kama pombe inavyomtawala mlevi" # kwa upendo wake kwa upendo wake kwako