sw_tn/pro/05/09.md

24 lines
659 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# katika njia hiyo
inahusu njia aliyoizungumzia hapo mwanzo
# hutatoa heshima yako kwa wengine
"isipoteze heshima yako nzuri miongoni mwa watu wengine" au "usipoteze utajiri wako kuwapa watu wengine"
# au miaka ya uzima wako kwa mtu mkatili
"au kumpati mtu makatili uzima wako" au "kusababisha mtu mkatili akuue ungali bado kijana"
# mtu mkatili
pengine huyu ni mume wa mke malaya, ambayo atamshughulikia kwa ukatili mtu anayelala na mke wake
# wageni hawatasherekea kwa utajiri wako
"wageni wasikuchukulie utajiri wako wote"
# kazi yako uliyofanya isiende katika nyumba ya wageni
"vitu ulivyopata visimalizike kwa kuishia kwenye famila za wageni"