# katika njia hiyo inahusu njia aliyoizungumzia hapo mwanzo # hutatoa heshima yako kwa wengine "isipoteze heshima yako nzuri miongoni mwa watu wengine" au "usipoteze utajiri wako kuwapa watu wengine" # au miaka ya uzima wako kwa mtu mkatili "au kumpati mtu makatili uzima wako" au "kusababisha mtu mkatili akuue ungali bado kijana" # mtu mkatili pengine huyu ni mume wa mke malaya, ambayo atamshughulikia kwa ukatili mtu anayelala na mke wake # wageni hawatasherekea kwa utajiri wako "wageni wasikuchukulie utajiri wako wote" # kazi yako uliyofanya isiende katika nyumba ya wageni "vitu ulivyopata visimalizike kwa kuishia kwenye famila za wageni"