sw_tn/pro/05/03.md

20 lines
552 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# midomo ya malaya hutona asali
"maneno ya malaya ni matamu, kana kwamba hutona asali" au "busu la malaya ni tamu, kana kwamba midomo yake hutona asali"
# kinywa chake ni laini kuliko mafuta
"kauli yake inashawishi na laini kuliko mafuta ya mizeituni" au "busu lake ni laini kuliko mafuta ya mizeituni"
# lakini mwisho ni mchungu kuliko pakanga
"lakini mwishoni ni mchungu kama radha ya pakanga na atasababisha madhara"
# pakanga
mmea ambao unaradha ya uchungu
# hukata kama upanga wenye makali
"humjeruhi mtu, kama unavyojeruhi upanga mkali"