# midomo ya malaya hutona asali "maneno ya malaya ni matamu, kana kwamba hutona asali" au "busu la malaya ni tamu, kana kwamba midomo yake hutona asali" # kinywa chake ni laini kuliko mafuta "kauli yake inashawishi na laini kuliko mafuta ya mizeituni" au "busu lake ni laini kuliko mafuta ya mizeituni" # lakini mwisho ni mchungu kuliko pakanga "lakini mwishoni ni mchungu kama radha ya pakanga na atasababisha madhara" # pakanga mmea ambao unaradha ya uchungu # hukata kama upanga wenye makali "humjeruhi mtu, kama unavyojeruhi upanga mkali"