sw_tn/pro/04/05.md

32 lines
566 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Baba anaendelea kuwafundisha watoto wake mambo ambayo yeye alifundishwa na baba yake
# Jipatie hekima
"fanya bidii kupata hekima kwa ajili yako mwenyewe" au "pata hekima"
# usiyasahau
"yakumbuke"
# usiyakatae
"kubali"
# maneno ya kinwa changu
"yale ninayonena"
# usimwache hekima na naye atakulinda; mpende na yeye atakuweka salama
Mwandishi ananena juu ya hekima kama mwanamke ambaye humlinda mtu ambaye ni mwaminifu.
# usimwache hekima
" ishikilie kwa nguvu kabisa hekima"au " uwe mwaminifu kwa hekima"
# mpende
" mpende hekima"