sw_tn/pro/03/23.md

16 lines
257 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# utatembea kwenye njia yako kwa usalama
maisha yako utaishi kwa usalama
# mguu wako hautajikwaa
hutafanya mambo yenye makosa
# wakati wa kulala
wakati unaposhuka kulala
# usingizi wako utakuwa mtamu
usingizi wako utakuwa mzuri au utalala kwa amani