# utatembea kwenye njia yako kwa usalama maisha yako utaishi kwa usalama # mguu wako hautajikwaa hutafanya mambo yenye makosa # wakati wa kulala wakati unaposhuka kulala # usingizi wako utakuwa mtamu usingizi wako utakuwa mzuri au utalala kwa amani