sw_tn/pro/03/17.md

16 lines
374 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Njia zake ni njia za upole na mapito yake yote ni amani
Hekima inatakutendea kwa upole na kukupa amani daima
# Yeye ni mti wa uzima kwao ambao humshikilia
Hekima ni kama mti ambao huhifadhi uzima kwao ambao hula matunda yake
# mti wa uzima
mti unaota uzima au mti ambao matunda yake hudumisha uzima
# kwao ambao humshikilia
wao ambao hushikilia kwenye matunda yake