# Njia zake ni njia za upole na mapito yake yote ni amani Hekima inatakutendea kwa upole na kukupa amani daima # Yeye ni mti wa uzima kwao ambao humshikilia Hekima ni kama mti ambao huhifadhi uzima kwao ambao hula matunda yake # mti wa uzima mti unaota uzima au mti ambao matunda yake hudumisha uzima # kwao ambao humshikilia wao ambao hushikilia kwenye matunda yake