sw_tn/pro/03/15.md

16 lines
331 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mwandishi anaongea juu y hekima kama vile anaongea na mwanamke.
# thamani
"a gharama" au "ghari"
# ni mwenye wingi wa siku katika mkono wake wa kulia; katika mkono wake wa kushoto ni utajiri na heshima
hekima humpa mtu siku nyingi na utajiri na heshima
# wingi wa siku
Hii nahau maana yake"maisha marefu"