# Maelezo ya Jumla Mwandishi anaongea juu y hekima kama vile anaongea na mwanamke. # thamani "a gharama" au "ghari" # ni mwenye wingi wa siku katika mkono wake wa kulia; katika mkono wake wa kushoto ni utajiri na heshima hekima humpa mtu siku nyingi na utajiri na heshima # wingi wa siku Hii nahau maana yake"maisha marefu"