sw_tn/pro/03/01.md

16 lines
287 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mwandishi anaongea kama baba akimfundisha mtoto wake kwa kutumia shairi.
# usizisahau amri zangu
"usiyasahau niyokuagiza"
# yatunze mafundisho yangu ndani ya moyo wako
"Nilichokufundisha ukikumbuke daima"
# wingi wa siku na miaka ya uzima
utaishi maisha marefu