# Maelezo ya Jumla Mwandishi anaongea kama baba akimfundisha mtoto wake kwa kutumia shairi. # usizisahau amri zangu "usiyasahau niyokuagiza" # yatunze mafundisho yangu ndani ya moyo wako "Nilichokufundisha ukikumbuke daima" # wingi wa siku na miaka ya uzima utaishi maisha marefu