sw_tn/pro/02/18.md

20 lines
558 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nyumba yake inaelekea mauti
kwenda kwenye nyumba yake husanabisha mauti au njia ya kwenda nyumbani kwake ni njia ya kuelekea katika mauti.
# mapito yake yatakuongoza
njia za kwenda kwenye nyumba yake zitakuongoza au namna ya anavyoishi itakuongoza.
# kwa wale waliopo kwenye kaburi
roho za watu wafu, ni picha ya sehemu ya wafu
# huingia kwake
kwenda kwenye nyumba yake na kulala pamoja naye, kama ambayo mtu anavyo lala na malaya.
# hatazifikia njia za uzima
hawataishi maisha ya furaha tena au hawataweza kurudi katika nchi ya watu wenye uhai