# nyumba yake inaelekea mauti kwenda kwenye nyumba yake husanabisha mauti au njia ya kwenda nyumbani kwake ni njia ya kuelekea katika mauti. # mapito yake yatakuongoza njia za kwenda kwenye nyumba yake zitakuongoza au namna ya anavyoishi itakuongoza. # kwa wale waliopo kwenye kaburi roho za watu wafu, ni picha ya sehemu ya wafu # huingia kwake kwenda kwenye nyumba yake na kulala pamoja naye, kama ambayo mtu anavyo lala na malaya. # hatazifikia njia za uzima hawataishi maisha ya furaha tena au hawataweza kurudi katika nchi ya watu wenye uhai