sw_tn/pro/02/09.md

16 lines
259 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# haki
adili
# kila njia njema
kuishi katika njia ambao humpendeza Mungu.
# hekima itaigia kwenye moyo wako
Hapa "moyo" unamaanisha utu wa ndani wa mwanadamu. "utajifunza namna ya kuwa na busara ya kweli"
# yatakupendeza nafsi yako
"yatakupa furaha"