sw_tn/pro/02/06.md

28 lines
643 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kutoka katika kinywa huja maarifa na ufahamu
Hapa "kinywa" kinawakilisha Yahwe mwenyewe au Jambo ambalo anasema."Kutoka kwa Yahwe huja maarifa na ufahamu" au "Yahwe anatuambia sisi kile tunapaswa kukijua na kukifahamu"
# Huhifadhi sauti ya hekima kwa ajili ya wale ambao humpendeza
Yahwe hufundisha kweli kwa wale ambao humpendeza.
# kamili
yenye kutegemewa
# yeye ni ngao kwa wale
Kwa kuwa Yahwe anauwezo wa kuwalinda watu wake anatajwa kama ngao.
# ambao hutembea katika uadilifu
wanaoishi kama wanavyopaswa
# huzilinda njia za mwenye haki
Mungu huwalinda wale ambao hutenda haki
# atailinda njia yao
huwalinda wale ambao...