# kutoka katika kinywa huja maarifa na ufahamu Hapa "kinywa" kinawakilisha Yahwe mwenyewe au Jambo ambalo anasema."Kutoka kwa Yahwe huja maarifa na ufahamu" au "Yahwe anatuambia sisi kile tunapaswa kukijua na kukifahamu" # Huhifadhi sauti ya hekima kwa ajili ya wale ambao humpendeza Yahwe hufundisha kweli kwa wale ambao humpendeza. # kamili yenye kutegemewa # yeye ni ngao kwa wale Kwa kuwa Yahwe anauwezo wa kuwalinda watu wake anatajwa kama ngao. # ambao hutembea katika uadilifu wanaoishi kama wanavyopaswa # huzilinda njia za mwenye haki Mungu huwalinda wale ambao hutenda haki # atailinda njia yao huwalinda wale ambao...