sw_tn/pro/01/15.md

20 lines
569 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# usiende katika njia ile pamoja nao; usiruhusu mguu wako kugusa ambapo wao hupita
kuepuka kuwa kwenye njia ya wenye dhambi" usiende pamoja na wenye dhambi au kutende matendo yao"
# miguu yao hukimbilia maovu
"wapo tayari kutenda mambo maovu"
# miguu yao hukimbilia
"miguu" inawakilisha mtu mwenyewe.
# kumwaga damu
"damu" ni uzima wa mtu. Kumwaga damu ni kumuua mtu.
# Kwa maana haifai kutandaza ... akiona
Hekima ya ndege ambao hujinasua na mitego wanayoiona inalinganishwa upumbavu wa wenye dhambi ambao hunaswa kwenye mitego ambayo hujitengenezea wenyewe.