# usiende katika njia ile pamoja nao; usiruhusu mguu wako kugusa ambapo wao hupita kuepuka kuwa kwenye njia ya wenye dhambi" usiende pamoja na wenye dhambi au kutende matendo yao" # miguu yao hukimbilia maovu "wapo tayari kutenda mambo maovu" # miguu yao hukimbilia "miguu" inawakilisha mtu mwenyewe. # kumwaga damu "damu" ni uzima wa mtu. Kumwaga damu ni kumuua mtu. # Kwa maana haifai kutandaza ... akiona Hekima ya ndege ambao hujinasua na mitego wanayoiona inalinganishwa upumbavu wa wenye dhambi ambao hunaswa kwenye mitego ambayo hujitengenezea wenyewe.