sw_tn/pro/01/04.md

28 lines
642 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# pia ni kuwapa hekima wajinga
' pia kuwafunza wale ambao ni wajinga namna ya kuwa na busara"
# wajinga
"bila uzoefu, isiyo kamavu/uchanga"
# kuwapa maarifa na busara vijana
"na kuwafunza vijana wanachohitaji kufahamu na jinsi ya kutambua jambo zuri la kufanya"
# busara
kufahamu kinachopaswa kufanyika katika mazingira husika.
# Watu wenye busara wasikie na kuongeza elimu yao
"Wale wenye busara wazingatie na kujifunza zaidi"
# watu wenye ufahamu wapate mwongozo
"watu wenye ufahamu wajifunze kwa methali hizi jinsi ya kufanya maamuzi mazuri"
# vitendawili
misemo ambayo mtu anaweza kuifahamu baada tu ya kutafakari juu yake.