sw_tn/php/04/18.md

24 lines
932 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Nimepokea vitu vyote, na sasa nimejazwa na vitu vingi
Paulo alipokea kila kitu ambacho Wafilipi walimtumia
# Nimejazwa
Paulo anamaanisha kujazwa vitu ambavyo yeye mwenyewe.
# Ni vitu vizuri vyenye kunukia mithili ya manukato, vyenye kukubalika abavyo vyote ni sadaka inayompendeza Mungu
manukato yenye kunukia, yenye kukubalika inayompendeza Mungu. Paulo anafananisha sadaka za kanisa la Filipi na zile za zilizokuwa zikitolewa kipindi cha Agano la Kale. Makuhani waliteketeza zile sadaka, ambazo zilikuwa zikinukia kwa Mungu. Paulo anasisitiza kwamba sadaka zina thamani kubwa kwa Mungu. "Ninawahakikishieni kuwa sadaka hizi zinampendeza Mungu"
# atawajazeni mahitaji yenu
"atatoa kila hitaji mlilonalo"
# kwa utajiri wa utukufu wake katika Yesu Kristo
"kutoka kwwenye utajiri wa utukkufu ambao huutoa kupitia Kristo Yesu"
# Sasa kwa Mungu
Neno "sasa" limetumika kuonyesha mwisho wa maombi na hitimisho la waraka huu.