sw_tn/php/02/25.md

20 lines
757 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Epafradito
Hili ni jina la mtu aliyetumwa na kanisa la Filipi kumhudumia Paulo gerezani.
# mtenda kazi mwenzangu na askari mwenzangu
Hapa Paulo anamzungumzia Epafradito kana kwamba alikuwa askari. Anamaanisha kwamba Epafradito amejifunza na kuamua kumtumikia Mungu, haijalishi ambavyo mambo makubwa yakayomsonga. "muumini mwenzangu ambaye anafanya kazi na kusumbuka pamoja nasi"
# na mjumbe wenu kwa ajili ya mahitaji yangu
"na ambaye aletaye ujumbe wenu kwangu na anisaidiaye wakati ninapokuwa mhitaji"
# alikuwa na hofu, na alitamani kuwa pamoja nanyi nyote
"alikuwa na hofu na alitaka kuwa nanyi nyote"
# huzuni juu ya huzuni
sababu ya huzuni ingeweza kutengenezwa wazi. "huzuni ya kumpoteza kujumlisha na huzuni aliyokuwa nayo kuwa gerezani"