sw_tn/oba/01/10.md

36 lines
676 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla
Bwana anaendelea kumpa Obadia ujumbe wake kwa Edomu
# ndugu yako Yakobo
AT "jamaa zako ambao ni wazao wa Yakobo."
# utafunikwa na aibu
"utakuwa na aibu kabisa"
# zitakatwa milele
"haitakuwepo tena."
# alisimama karibu
"alitazama na hakufanya chochote kusaidia"
# wageni
watu kutoka mataifa mengine
# mali yake
Neno 'wake' linamaanisha 'Yakobo,' ambayo ni njia nyingine ya kutaja watu wa Israeli.
# kupiga kura kwa ajili ya Yerusalemu
Maneno haya yanamaanisha 'walipiga kura ili kuamua nani atakayepata vitu muhimu ambavyo walichukua kutoka Yerusalemu.'
# ulikuwa kama mmoja wao
"ilikuwa ni kama wewe ulikuwa mmoja wa wageni hawa na wageni"