sw_tn/num/29/17.md

16 lines
417 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# siku ya pil ya kusanyiko
"siku ya 2 ya sikukuu." neno "kusanyiko" linamaanisha sikukuu za majuma.
# fahari wachanga kumi na mbili, kondoo waume wawili, na wanakondoo waume kumi na nne
"fahari 12, kondoo waume 2, na wanakondoo waume14."
# kama ilivyoamriwa
"kama BWANA alivyoamuru"
# sadaka yake ya unga na sadaka yake ya vinywaji
"pamoja na sadaka yake yaunga na sadaka yake ya vinywaji inayoamabatana nayo"