# siku ya pil ya kusanyiko "siku ya 2 ya sikukuu." neno "kusanyiko" linamaanisha sikukuu za majuma. # fahari wachanga kumi na mbili, kondoo waume wawili, na wanakondoo waume kumi na nne "fahari 12, kondoo waume 2, na wanakondoo waume14." # kama ilivyoamriwa "kama BWANA alivyoamuru" # sadaka yake ya unga na sadaka yake ya vinywaji "pamoja na sadaka yake yaunga na sadaka yake ya vinywaji inayoamabatana nayo"