sw_tn/num/27/12.md

40 lines
780 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Milima ya Abarimu
Hii ni safu ya milima huko Moabu
# ambayo nimewapa wana wa Israeli
ambayo nitawapa wana wa Israeli
# pia lazima ukusanyike na watu wako
"lazima ufe"
# Kama Haruni kaka yako
"kama Haruni kaka yako mkubwa"
# ninyi wawili mlipinga amri yangu
"Hii inamaanisha Musa na Haruni"
# Katika jangwa la Sini
Tazama 13:21
# Pale ambapo maji yalitoka kwenye mwamba, katika hasira yako
Hii inamaanisha lile tukio ambalo Mungu alitengeneza maji kwa muujiza yakatoka kwenye mwamba. Mungu alimwambia Musa auambie mwamba, lakini badala yakae Musa akaupiga kwa sababu alikuwa na hasira dhidi ya watu
# ulishindwa kuniheshimu mimi kama mtakatifu
"haukunichukulia kama mtakatifu"
# mbele ya macho ya watu wote
"mbele ya kundi lote"
# maji ya Meriba
Tazama 20:12