# Milima ya Abarimu Hii ni safu ya milima huko Moabu # ambayo nimewapa wana wa Israeli ambayo nitawapa wana wa Israeli # pia lazima ukusanyike na watu wako "lazima ufe" # Kama Haruni kaka yako "kama Haruni kaka yako mkubwa" # ninyi wawili mlipinga amri yangu "Hii inamaanisha Musa na Haruni" # Katika jangwa la Sini Tazama 13:21 # Pale ambapo maji yalitoka kwenye mwamba, katika hasira yako Hii inamaanisha lile tukio ambalo Mungu alitengeneza maji kwa muujiza yakatoka kwenye mwamba. Mungu alimwambia Musa auambie mwamba, lakini badala yakae Musa akaupiga kwa sababu alikuwa na hasira dhidi ya watu # ulishindwa kuniheshimu mimi kama mtakatifu "haukunichukulia kama mtakatifu" # mbele ya macho ya watu wote "mbele ya kundi lote" # maji ya Meriba Tazama 20:12