sw_tn/num/26/57.md

16 lines
362 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Hii ni orodha ya ukoo wa Lawi. Musa aliwahesabu Walwi kwa namna tofauti na makabila mengine kwa sababu hawakupokea ardhi yeyote.
# Zilizohesabiwa kwa kufuata ukoo
"ambao viongozi waliwahesabu kwa kufuata ukoo"
# Gerishoni ... Kohathi ... Merari ... Amramu
Tazama 3:17
# Alimzalia Amramu watoto wao
"Yeye na Amramu walikuwa na watoto"