# Taarifa kwa ujumla Hii ni orodha ya ukoo wa Lawi. Musa aliwahesabu Walwi kwa namna tofauti na makabila mengine kwa sababu hawakupokea ardhi yeyote. # Zilizohesabiwa kwa kufuata ukoo "ambao viongozi waliwahesabu kwa kufuata ukoo" # Gerishoni ... Kohathi ... Merari ... Amramu Tazama 3:17 # Alimzalia Amramu watoto wao "Yeye na Amramu walikuwa na watoto"