sw_tn/num/18/17.md

20 lines
341 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi unganishi
Mungu an endelea kuongea na Haruni
# Utanyunyizia damu yake
"mtawachinja na kunyunyizia damu yake"
# sadaka ya moto
"ambayo imetengenezwa kwa moto"
# harufu nzuri ya kumpendeza BWANA
"BWANA atapendezwa nanyi"
# kidali cha kuinuliwa na paja la kulia
"kidali na paja la kulia ambalo utaliinua kama sadaka kwangu"