# Sentensi unganishi Mungu an endelea kuongea na Haruni # Utanyunyizia damu yake "mtawachinja na kunyunyizia damu yake" # sadaka ya moto "ambayo imetengenezwa kwa moto" # harufu nzuri ya kumpendeza BWANA "BWANA atapendezwa nanyi" # kidali cha kuinuliwa na paja la kulia "kidali na paja la kulia ambalo utaliinua kama sadaka kwangu"