sw_tn/num/11/18.md

16 lines
441 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kw aujumla
BWANA anaendelea kuongea a Musa
# nani atakayetupa nyama tule?
"Tunatamani kama tungepata nyama tule"
# mpaka zitakapowatokea puani
Inaweza kumaanisha 1) Mungu anamaanishsa kutapika kupitia puani au mpaka mtaugua na kutapika 2)watakula nyama nyingi sana kama itakavyokuwa pale zitakapowatokea puani. au "mpaka mtaanza kujisikia kuwa zinataka kutokea puani"
# kwa nini tulitoka Misri?
"Bora tusingelitoka Misri."