# Taarifa kw aujumla BWANA anaendelea kuongea a Musa # nani atakayetupa nyama tule? "Tunatamani kama tungepata nyama tule" # mpaka zitakapowatokea puani Inaweza kumaanisha 1) Mungu anamaanishsa kutapika kupitia puani au mpaka mtaugua na kutapika 2)watakula nyama nyingi sana kama itakavyokuwa pale zitakapowatokea puani. au "mpaka mtaanza kujisikia kuwa zinataka kutokea puani" # kwa nini tulitoka Misri? "Bora tusingelitoka Misri."