sw_tn/num/01/47.md

12 lines
344 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wanaume toka ukoo wa Lawi hawakuhesabiwa
"Musa na Haruni hawakuwahesabu wale wanaume waliokuwa wakitoka ukoo wa Lawi
# waliokuwa wakitoka ukoo wa Lawi
"waliokuwa wakitoka kwenye kabila la Lawi
# usiwahesabu wale wa kabila la Lawi
"kabila la Lawi" inamaanisha wanaume wote wa akbila la Lawi". "usiwahesabu wanaume wote wa kabila la Lawi"