# wanaume toka ukoo wa Lawi hawakuhesabiwa "Musa na Haruni hawakuwahesabu wale wanaume waliokuwa wakitoka ukoo wa Lawi # waliokuwa wakitoka ukoo wa Lawi "waliokuwa wakitoka kwenye kabila la Lawi # usiwahesabu wale wa kabila la Lawi "kabila la Lawi" inamaanisha wanaume wote wa akbila la Lawi". "usiwahesabu wanaume wote wa kabila la Lawi"