sw_tn/neh/09/23.md

12 lines
442 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi unganishi
Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.
# Uliwafanya watoto wao
Bwana aliwafanya wana wa Israeli wakati wa Musa
# Ukawatia mikononi mwao
Wakanaani wanasemwa kama walikuwa vitu vidogo ambavyo mtu anaweza kuweka mkononi mwa mtu mwingine. Kutoa kitu ndani ya mkono wa mtu ni kumpa mtu huyo udhibiti kamili juu ya jambo hilo. AT "imewezesha Waisraeli kuwa na udhibiti kamili juu yao"